Unalooooooooooo
Ze Katibu!
Unajua unan'sikitisha sana!
Jinsi ulivyo , janajike la hajjah! Lakini umekakang'ang'ania "Kauza Ndizi"
umeonaeee....... Hata mi namshangaa huyu shoga angu, sijui amerogwa?
umeonaeee....... Hata mi namshangaa huyu shoga angu, sijui amerogwa?
Lady doctor ushawahi kupigwa katerero wewe?
Ze Katibu!
Unajua unan'sikitisha sana!
Jinsi ulivyo , janajike la hajjah! Lakini umekakang'ang'ania "Kauza Ndizi"
najituliza kwake kasuku sitaki maneno sitaki matata ninachopata kinanitosha
mke wangu una akili sana,i love you very much mmmmwwwwaaaaaaaa!!!!!
Maneno kuntu mke wangu,yatawazima vilimilimi, ka vipi wapande juu wakazibe!cc Judgement na Lady doctor