Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
bibie Lady doctor.. haujambo? mimi ndimi emperor!
The Finest hivi ile sadaka mliyokwapua wewe na yule hawara yako mlishairudishwa kwa Bwana?Huna hela wewe Bishanga
emperor huyo ndo mchumba hana mme
una akili sana mke wangu.
the Sectretary tafadhali nina mazungumzo na wewe.
Lady doctor ushawahi kusoma khadithi za alinacha?The secretary maombi yamekubaliwa...... Ulijitahidi sana kufunga na kuomba ili upate mume,,,,,,, mungu akupe nini jamani Mzee wa watu huyu apa anakuhitaji
The secretary
Kuja kwanza huku tusemezane kidogo.
mke wangu anakuhuu?