Onyesha jeuri nikupe jingine?

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Eti kuna jamaa na kahisabati kake:
2=6
3=12
4=20
5=30
6=42
9=? Mthibitishie we mkali!
 
ni 54 coz unafatisha trend inayoonekana tu, ila hata kama ukiweka na 7 na 8 zilizo-miss basi jibu litakuwa 72

hapana mkuu jibu litakuja 90 maana itakuwa ni 7x8=56 na 8x9=72 itakayofuata ni 9x10=90..upo hapo?
 
ni 54 coz unafatisha trend inayoonekana tu, ila hata kama ukiweka na 7 na 8 zilizo-miss basi jibu litakuwa 72

second row ina tofauti kuanzia:
2---=6
3---6+6=12
4---12+8=20
5---20+10=30
6---30+12=42
7---42+14=56
8---56+16=72
9---72+18=90 check namba zilizojumlishwa series yake
 
Hisabati mimi Uuuwiii macho yanauma

Sent from Samsung tablet
 
2x3=6
3x4=12
4x5=20
5x6=30
6x7=42
7x8=56
8x9=72
9x10=90

Mwisho wa mchezo 9=90
 
Hii tabia ya kunikumbusha fomu foo d, sipendi...
 
Serikari kupanga upya matokeo ya kidato cha nne
TUSISUMBUANE TAFADHALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…