Only in Uganda

Nimeipenda hii. Kumbe mlango wa buti ukiondolewa unatengeneza nafasi ya kubeba abiria wengi zaidi?

Tiba
 
Nimeipenda hii. Kumbe mlango wa buti ukiondolewa unatengeneza nafasi ya kubeba abiria wengi zaidi?

Tiba

Tiba, mbona hii kawaida in Uganda.kama ID yako (Tiba) ni ya Bukoba, hii ukienda Mutukula, Masaka etc utaikuta kawaida tu!
 
Kwa mtindo huu kwenye HIACE wataingia watu mia.
 
Nafikiri amevunja sheria... hii gari imetengenezwa kubeba abiria watano tu. Kadi ya gari itaonyesha hivyo, hii ni modification isiyokubalika kihandisi...
 
TZ huwezi kufanya huu upuzi kwanza watu wanathamini sana magari yao. Pili Trafic sijui utawabebea mbeleko gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…