Online forms

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba anayefahamu app nzr ya kutengenezea online form yenye option nyingi ya simu na pc. Natanguliza shukrani

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Kimyaaaaa

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Elezea vizuri ili watu wapate kuelewa na kukusaidia. Unataka form uiweke wapi au unataka kutengeneza form then iwe hardcopy

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yangu ni hivi, niko website sasa kuna zile file za excel, word nk zipo kwenye simu yangu tayari sasa ninachotaka ni kwamba niweke link kwenye moja ya Option kubwa ili mtu akigusa impeleke kwenye hilo file nililokusudia.

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
kwa maelezo yako sijakupata ila labda unamaanisha kuwa form yako iwe online yenyewe kama yenyewe au kwenye platform ambapo itaonekana kama demo/sample ?
 
kwa maelezo yako sijakupata ila labda unamaanisha kuwa form yako iwe online yenyewe kama yenyewe au kwenye platform ambapo itaonekana kama demo/sample ?
Vyovyote itakavyokuwa ili mradi mtu akigusa hiyo link impeleke kwenye excel sheet niliyoiandaa

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Hauhitaji app kwa ajili hiyo, hizo files za kwenye simu ziweke kwenye server yenye website. Baada ya hiyo utaweka link tu
 
Hauhitaji app kwa ajili hiyo, hizo files za kwenye simu ziweke kwenye server yenye website. Baada ya hiyo utaweka link tu
Asante nimefanikiwa

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…