Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,093
- 1,261
Kuua albino ni ujinga wetu Afrika yote, si Tanzania tu. Labda Tanzania wanalikemea ndo mana limesikika, na lililo kuu hapa ni kwamba waliwalea wakakua, ukubwani kwa mila potofu wakageuzwa dili.
Ila hii ni kwa bana ba Africa wote, nikuulize swali mkuu... Hivi ulishawahi kumuona albino mmasai? Tz mi sijawahi kumuona, labda Kenya. Sijui umeelewa hapo, au ulidhani huwa wanazaliwa kwa jamii fulani tu?
Ni tabia ya kinyama, haivumiliki hata kidogo. Ila kuipinga kuwa haipo ni unafiki mkubwa na ni dhambi pia. Iko kote Afrika. Refer ktk songs of Lawino, Nigeria hiyo.
Kwikwikwikwi. Umefufukia wapi wewe mbona mawenge mawenge kama umetoka kwenye choo cha kulipia Kibera!!?.
Unajua nyie wakenya wenye tabia kama zako ni washamba na tena mwisho wa siku dume zima linaolewa. Hivi wewe hujicheki? Mtu unafanana na kivuli chako.
Usinifanye nicheke wewe? Wewe hapo na ukoo wako wote huna hata kipande kidogo cha ardhi nchini kwenu. Achana na nchi yetu wewe.
Babu zenu walikuwa wapumbavu waliiharibu nchi yenu. Sasa hivi mmebaki kukenua kenua meno kama vichaa.
Kwikwikwikwi. Kwahiyo wewe mkenya mweusi tiiii. Unajifanya mzungu sio? Kwahiyo bara lako ni lipi? Kwanini usiishi Kenya kwenu. Umekimbia kwa sababu ni nchi mbayaaaaaa? Sasa kwa taarifa yako tu, nenda kaiangalie nchi yoko hiyo ya kenya japo umekimbia.Nishakueleza mara nyingi tu mimi siishi bara hilo lenyu la Afrika, laiti ungalijua naweza kukununua wewe pamoja na ukoo wenyu wote kama watumwa nikawatia kwenye merekebu hadi Marekani hungetapika ushuzi humu.
Kipande changu cha ardhi tena cha kwanza nilikinunua mwaka wa 2007 nikiwa miaka 18 tu,na bado nlikua na nilicho kirithi toka kwa baba,labda ulikua bado kwenye nepi unajinyea weye mwana.
Mara nyingine jifunze kuwa na staha,humu jukwaani humfahamu yeyote.
Pathetic!
Wacha kubishana na Kopo!!Kwikwikwikwi. Kwahiyo wewe mkenya mweusi tiiii. Unajifanya mzungu sio? Kwahiyo bara lako ni lipi? Kwanini usiishi Kenya kwenu. Umekimbia kwa sababu ni nchi mbayaaaaaa? Sasa kwa taarifa yako tu, nenda kaiangalie nchi yoko hiyo ya kenya japo umekimbia.
Utamwmbiaje mwenzako awe na staha wakati wewe unatoa uharo mdomoni? Tukiwa kimya msidhani kwamba hatujui chochote. Sasa yukiwapa za uso mnakuja kulia lia na kukenu kenua meno kama vichaa fulani.
Kwanza hiyo issue umeianzisha wewe tulikuwa tumeshaimaliza na Depay. Wewe umekuja na kuanza kubwekabweka kama umekurupushwa toka kwenye choo cha mabox Mathare.
Kwikwikwikwi. Ndio nyie wanaume mnaolewa na wazungu huku mkichukia bara lenu.
Kibera ni 2.5 sq km. Watu 2.5 million hawawezi toshea hapo. Kulingana na census ya 2009, Kibera kuna watu 170,000. 2017 estimates za serikali ni 270K maximum. NGO guys exaggerate the numbers ndio wapate more donations. Na mji wa Nairobi una watu 4.2 million si 3 million. Na Nairobi kuna slums coz the estates are well structured so the poor guys live in a specific area. Miji mingi hakuna structures, utapata jumba la kifahari katikati ya nyumba za mabati, kama Dar. Utapata miji kama Cape Town na Nairobi iko na slums kubwa kwa sababu the areas are well defined, miji kama Dar utapata sehemu za kitajiri are mixed an areas za maskini. Only around 6% of Nairobi land area has informal settlements, meaning 94% ni somethimg nice.Wacha kubishana na Kopo!!
Mwaka 2007 alikuwa na Miaka 18!!
Ndio kanunua kipande cha Ardhi!!!
Hahaha
Ajabu anakuambia ulikuwa kwenye nepi!!!
Kwa Tanzania kupiga kura angelipiga mwaka 2010
Yaani kwa mkapa hakuruhusiwa kuchagua !!!
Lakini anajiona mkubwa!!
Hujajua na kubaini huyo ni Nusu Kaputi!!!!
Hakuna cha Marekani wala Nini
Ukisha jua sifa kuu ya mkenya ni
Kupenda sifa na wizi
Basi yupo radhi kudanganya Anaishi Ulaya kumbe Kibera!!!
Watu zaidi ya milioni 2.5 wapo Kibera
Ikiwa Nairobi nzima ina 3ml!!!
Wacha Slum zinginezo!!!
Nilisha sawazishwa hapo, ni Uganda. Nilikisoma zamani, hata sikikumbuki vyema. Hata hivyo logic itabaki palepale...tena kwa ukaribu zaidi.Songs of Lawino is no from Nigeria or by a Nigerian.
Hivi waTz mna midomo mirefu na uongouongo tupu!
Hata Afrika Mashariki hamuijui vyema......Songs of Lawino was written by Okot P'bitek a UGANDAN!
Maybe from ACHOLI tribe which is part of the larger East African LUO.
Pata darsa mwana!
Point yako ni ipi hasa hapa maana sikuelewi unaongelea nini. Kwahiyo matajiri waishi pekee yao sio?Kibera ni 2.5 sq km. Watu 2.5 million hawawezi toshea hapo. Kulingana na census ya 2009, Kibera kuna watu 170,000. 2017 estimates za serikali ni 270K maximum. NGO guys exaggerate the numbers ndio wapate more donations. Na mji wa Nairobi una watu 4.2 million si 3 million. Na Nairobi kuna slums coz the estates are well structured so the poor guys live in a specific area. Miji mingi hakuna structures, utapata jumba la kifahari katikati ya nyumba za mabati, kama Dar. Utapata miji kama Cape Town na Nairobi iko na slums kubwa kwa sababu the areas are well defined, miji kama Dar utapata sehemu za kitajiri are mixed an areas za maskini. Only around 6% of Nairobi land area has informal settlements, meaning 94% ni somethimg nice.
Miji inafaa kuwa na structures. My point was to counter that guy who said Kibera has 2.5 million guys.Point yako ni ipi hasa hapa maana sikuelewi unaongelea nini. Kwahiyo matajiri waishi pekee yao sio?
Tena umegusia na Luo, hilo liko Ke na Tz pia, kumbe na Uganda kuna generation yao,,, sa nakupa kazi,,, waelimishe wote wazaniao mauaji au unyanyasaji dhidi ya albino yako Tz tu, yako kote.Songs of Lawino is no from Nigeria or by a Nigerian.
Hivi waTz mna midomo mirefu na uongouongo tupu!
Hata Afrika Mashariki hamuijui vyema......Songs of Lawino was written by Okot P'bitek a UGANDAN!
Maybe from ACHOLI tribe which is part of the larger East African LUO.
Pata darsa mwana!
Unamaanisha nini Structured? Wewe unaishi Nairobi au Dar es salaam?Miji inafaa kuwa na structures. My point was to counter that guy who said Kibera has 2.5 million guys.
Kibera ni 2.5 sq km. Watu 2.5 million hawawezi toshea hapo. Kulingana na census ya 2009, Kibera kuna watu 170,000. 2017 estimates za serikali ni 270K maximum. NGO guys exaggerate the numbers ndio wapate more donations. Na mji wa Nairobi una watu 4.2 million si 3 million. Na Nairobi kuna slums coz the estates are well structured so the poor guys live in a specific area. Miji mingi hakuna structures, utapata jumba la kifahari katikati ya nyumba za mabati, kama Dar. Utapata miji kama Cape Town na Nairobi iko na slums kubwa kwa sababu the areas are well defined, miji kama Dar utapata sehemu za kitajiri are mixed an areas za maskini. Only around 6% of Nairobi land area has informal settlements, meaning 94% ni somethimg nice.
Huyu mtu Haijui DarUnamaanisha nini Structured? Wewe unaishi Nairobi au Dar es salaam?
Man, ni ya kweli, situmeweka renders na progress photos! All that has been posted here is under developmentLakini hii milada inayo oneshwa niyakweli au hadisi tu