Wakuu heshima yenu sana sana,
Nasikia mshahara umetoka na kwamba kuna ongezeko kidogo,
Naomba kujuzwa hilo ongezeko ni la shilingi ngapi ngapi??????
Kuanzia Cheti,Diploma na Degree.

Mkuu unanifurahisha sana, yaani Serikali itengeneze chaos, halafu ijaribu kui_solve hiyo chaos, then wananchi waipende kwasababu wamesolve chaos(waliyoitengeneza wao wenyewe)!