Ongeza Spidi katika Smartphone/Tablet Yako

HAKUNA HASARA YOYOTE ILE KUFANYA HVYO NAOMBA TUSIKILIZANE.......
IKO HIVI ni sawa na kutumia less pixels kwenye camera, maana yake picha itakuwa na saizi ndogo
Naomba unieleweshe mkuu yangu option ya off zimekaa hivi, window animation 0.5, window animation 1.5,window animation 1,window animation 2, window animation 10
 
Ngoja nikirudi home baada ya mihagaiko ya siku nifanye haya mautundu ,maana hapa nilipo naweza bonyeza pasipo husika ki simu changu cha mchina kikaungua.
 
HAKUNA HASARA YOYOTE ILE KUFANYA HVYO NAOMBA TUSIKILIZANE.......
IKO HIVI ni sawa na kutumia less pixels kwenye camera, maana yake picha itakuwa na saizi ndogo
Kama hamna hasara ni kwa nini developer waliset katika speed ndogo wakati speed kubwa ni kitu kizuri?????
 
Nimefanya duu simu imekuwa speed hatariiiii
 
Ubarikiwe sana mkuu now ha huawei kangu kumekuwa kepesi... Sasa mkuu nina Lumia 820 naweza kuiwekea window 10?au maujanja ya kuifanya iwe ya kijanjaaaa
 
Ibamize ukutani kisha jaribu tena..😛
 
Nimekuelewa mkuu
 
nimefuata maelekezo mpk no. 42, hiyo launcher sijaiona mkuu hata baada ya ku'restart simu na kuizima bado cjaiona mkuu
 
Mkuu nimeweka kote off na nimerestart simu ila sijaona neno launcher, natumia huawei y530.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…