Video ipi?kwa engine iliyopo katika video hii(1HD-FTE)
matter of knowledge Kwan kwa dash ile 180km/h huwa ndo mwsho wa capacity ya engine kuoffer power? Au utasema na delimit ya car n tunning jxt visit us tutakupa idea in real situation kiongozi41 more horsepower bila kufanya modifications zozote. Just out of the plug in device. Sikuiti muongo maana sijashuhudia ila my brother I highly doubt it. HIGHLY
41 more horsepower bila kufanya modifications zozote. Just out of the plug in device. Sikuiti muongo maana sijashuhudia ila my brother I highly doubt it. HIGHLY
Hizo na wewe unafanya mkuu?Yupo sawa mkuu. Nina uelewa na baadhi ya hizi tuning box.
Hizi gari huwa zinakuja zipo limited, ukicheza na software unaweza kuunlock vitu vingi sana.
Kwani wanaofanya tuning kwa software huwa wanaongeza nini kwenye gari yako. Mbona inaimprove perfomance.
Hizo na wewe unafanya mkuu?
Wakuu nakumbushiaNa sisi wenye magari ya kizamani rav4 3s ya 1995 auto inawezekana kwa kuongez HP na kunguza ulaji na gharama zikoje
Asante
Ukianza kufanya nitakuja na S 63 AMG unifanyie πππNafikiria kufanya siku za mbeleni.
Yaani uongeze hp hapo hapo upunguze consumption? ???Wakuu nakumbushia
Unataka kupaa mkuu?Ukianza kufanya nitakuja na S 63 AMG unifanyie πππ
Inawezekana Boss.Yaani uongeze hp hapo hapo upunguze consumption?
Mjasiriamali anatafuta fursa then azime simu41 more horsepower bila kufanya modifications zozote. Just out of the plug in device. Sikuiti muongo maana sijashuhudia ila my brother I highly doubt it. HIGHLY