Huo ni ugonjwa si kwake tu ni kwa chama yao yooote. kwao hawajui chochote bali ufisadi wa mali ya umma, madini, pembe za ndovu, wanyama hai kutoroshwa, madawa ya kulevya, kudhulumu haki za wakulima na wafanyakazi, kuua na kutesa raia ndo mtaji wao wa kiutawala.