Dah mkuu,Tunaomba serikali kusaidia kuzibiti hili tatizo la hizi sehemu mbili.
wa kwanza sehemu za mabaa:
hizi sehemu tena kama zina mziki na zina kesha ni kelo.yani uwezi lala kwa kelele zilizo wazi.
wa pili ni hawa walokole
hata kama hakuna ibada ni mwendo wa masupika makubwa kulazima watu tusikie neno na nyimbo za dini mpaka na mikesha.
hahahaaaaa, haya mkuuTunaomba serikali kusaidia kuzibiti hili tatizo la hizi sehemu mbili.
wa kwanza sehemu za mabaa:
hizi sehemu tena kama zina mziki na zina kesha ni kelo.yani uwezi lala kwa kelele zilizo wazi.
wa pili ni hawa walokole
hata kama hakuna ibada ni mwendo wa masupika makubwa kulazima watu tusikie neno na nyimbo za dini mpaka na mikesha.
Kweri kabisa warokore wanaleta kelo sana.Tunaomba serikali kusaidia kuzibiti hili tatizo la hizi sehemu mbili.
wa kwanza sehemu za mabaa:
hizi sehemu tena kama zina mziki na zina kesha ni kelo.yani uwezi lala kwa kelele zilizo wazi.
wa pili ni hawa walokole
hata kama hakuna ibada ni mwendo wa masupika makubwa kulazima watu tusikie neno na nyimbo za dini mpaka na mikesha.
Sasa hivi Nemc wanazifunga au wanawalazimisha kufunga sound proof. Pale Sinza Mapambano Walio Jirani na Board Room Bar walipeleka mashitaka .Pamefungwa mpaka wafunge sound prof system. Kwa sasa maspika ya kanisa au mziki wa bar ukizidi db zisizotakiwa ni kosa kisheria na raia wanaokeleka na hizi kelele wanatakiwa riport Baraza la Mazingira hili wausika wawajibishweDah mkuu,
mi nakaa hapa sinza kwa remy, jirani kuna baa sijui lounge inaitwa 99 club.. yaani ni shida.. huwa nalala siku ya j3 na j4 tu.. siku nyingine zote ni balaa
Mimi ndo Dj hapo mkuu naona unanipiga majungu ila najua huwa unakubali kazi yangu kimoyomoyo yan ni bang juu ya bangDah mkuu,
mi nakaa hapa sinza kwa remy, jirani kuna baa sijui lounge inaitwa 99 club.. yaani ni shida.. huwa nalala siku ya j3 na j4 tu.. siku nyingine zote ni balaa
Hama kama umepanga.Dah mkuu,
mi nakaa hapa sinza kwa remy, jirani kuna baa sijui lounge inaitwa 99 club.. yaani ni shida.. huwa nalala siku ya j3 na j4 tu.. siku nyingine zote ni balaa
Kama ninapoishi aisee,kuna kakibanda cha kanisa,basi jirani yangu dada mmoja hivi,yeye anaenda hapo alfajiri,hizo kelele anazopiga majirani wote tunaamka,harafu ukimuona huwezi amini kama yeye ndiye aliyekuwa anapiga kelele.Hayo mambo yanaweza kukufata, unajenga eneo limetulia,likichangamka ndio hayo mambo yanakuja kuibuka
Mimi hapa kuna Jirani yetu kapangisha Kanisani eneo lake yaani ni full makelele
Afadhali nyie kwenu ni mtu anasaliKama ninapoishi aisee,kuna kakibanda cha kanisa,basi jirani yangu dada mmoja hivi,yeye anaenda hapo alfajiri,hizo kelele anazopiga majirani wote tunaamka,harafu ukimuona huwezi amini kama yeye ndiye aliyekuwa anapiga kelele.
Mkuu hadi uku keko weekend tunasikiaga buzuki la nguvuHapa gwambina lounge wanatupigia muziki tunashindwa kulala