Ombi la nafasi ya kujitolea plumbing

pSmAthew

Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
7
Reaction score
0
Napenda kuomba kazi ya plumbing ya kujitolea katika taasisi yoyote elimu yangu ni
# Kidato cha nne
# Veta plumbing Level 2

Contact 0765558812

Napatikana Dar es Salaam
Na Tabora
 
Mimi Ni Fundi plumbing pia ila hiyo kazi kwa kujitolea ndungu n ngumu usiombe inachangamoto kinoma [emoji848] acha kabisa utajuta
 
Mimi Ni Fundi plumbing pia ila hiyo kazi kwa kujitolea ndungu n ngumu usiombe inachangamoto kinoma [emoji848] acha kabisa utajuta
Mtaani kugumu kaka ndo kwanza tumetoka veta tunashindwa tuanze vipi msaada wa kimawazo nahitaji tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…