Johary Manase Member Joined May 13, 2023 Posts 5 Reaction score 5 May 18, 2023 #1 Habari zenu, Naitwa Mary Emanuel Sumari ninaishi Mwanza na nmemaliza chuo kikuu cha SAUT Mwanza 2021 fani ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma. Nina uhitaji wa kazi yoyote halali. Kwa yoyote atakayenisaidia nitashukuru sana. Barua pepe yangu ni marysumari2@gmail.com
Habari zenu, Naitwa Mary Emanuel Sumari ninaishi Mwanza na nmemaliza chuo kikuu cha SAUT Mwanza 2021 fani ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma. Nina uhitaji wa kazi yoyote halali. Kwa yoyote atakayenisaidia nitashukuru sana. Barua pepe yangu ni marysumari2@gmail.com
Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 5,414 Reaction score 15,452 May 19, 2023 #2 NJOO PM PLEAS
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,719 Reaction score 14,847 May 24, 2023 #3
AlmightyGod Member Joined May 21, 2023 Posts 94 Reaction score 352 May 24, 2023 #4 Tafuta ndugu Dar! Uje upambane huku, Lkn ulishawahi kufanya kazi au ulijenga ujuzi zaidi redio gani huko.....
Tafuta ndugu Dar! Uje upambane huku, Lkn ulishawahi kufanya kazi au ulijenga ujuzi zaidi redio gani huko.....