M MWACHIBILA Member Joined Feb 19, 2013 Posts 48 Reaction score 8 Jun 5, 2015 #1 Habari! Natafuta nafasi ya kufundisha katika shule za sekondari kuanzia muhula wa pili wa masomo yaani mwezi wa saba, nategemea kupata shahada ya kwanza ya ualimu mwezi huu. Masomo ya kufundishia ni KISWAHILI na HISTORIA.
Habari! Natafuta nafasi ya kufundisha katika shule za sekondari kuanzia muhula wa pili wa masomo yaani mwezi wa saba, nategemea kupata shahada ya kwanza ya ualimu mwezi huu. Masomo ya kufundishia ni KISWAHILI na HISTORIA.
Mwalupale JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,048 Reaction score 676 Jun 10, 2015 #2 Unatarajia kupata shahada au kumaliza mitihani ya semester yako ya sita? Hebu acha kudanganya watu. Shadada mpaka upate gamba lako ukishagraduate.
Unatarajia kupata shahada au kumaliza mitihani ya semester yako ya sita? Hebu acha kudanganya watu. Shadada mpaka upate gamba lako ukishagraduate.
M MWACHIBILA Member Joined Feb 19, 2013 Posts 48 Reaction score 8 Jun 10, 2015 Thread starter #3 poa,ni mitihani ya semisita ya sita