kunakazi nataka niifanyie. nazani sio vyema sana kuanza kutiririka hapa nikazigan haswa .huenda zikaaza kuzuka mada ambazo sio kusudio..Hebu jitahidi useme unataka kuifanyia nn hyo pc unaweza saidiwa na vitu vingine pia.
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
niheri anaye tambua kipaji na kukifanyia kaziSikuhizi kila mtu anakuja kulia liaa JF. Kweli mtaana hali ni tete, watu wanatambua vipaji vyao kila uchao.
SangaweJr
unataka ukabeti forexkunakazi nataka niifanyie. nazani sio vyema sana kuanza kutiririka hapa nikazigan haswa .huenda zikaaza kuzuka mada ambazo sio kusudio..
nikipata PC tu yatosha ayo mengine nitapambana nayo mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Location na Contact number ni kwa PM kwa ambae atakuwa tayari kuni support
Kuwa muwazi kwa kuweka location uliopo labda utapata watu wa karibu na hapo ukasaidiwa,mawasiliano watakutafuta pm ukiweka location,mimi nipo huku ukwavira nina pc 6 sasa utapataje?Location na Contact number ni kwa PM kwa ambae atakuwa tayari kuni support
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo DodomaKuwa muwazi kwa kuweka location uliopo labda utapata watu wa karibu na hapo ukasaidiwa,mawasiliano watakutafuta pm ukiweka location,mimi nipo huku ukwavira nina pc 6 sasa utapataje?
Jaribu kuwa muwazi usaidiwe aiseee just sema location uliyopo tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
itanichukua kama miezi 10-12 kukamilisha kazi kusudiwa ..baada ya hapo naweza irejesha
sasa wewe unataka kusaidiwa au hautaki maana unachokiandika ndicho kinachoweza kuleta ushawishi umese,a mficha uchi hazai halafu bado unashondwa kusema shida yako sema tjue ni kazi gani maana kila computer ina ip address zake usije itumia sivyokunakazi nataka niifanyie. nazani sio vyema sana kuanza kutiririka hapa nikazigan haswa .huenda zikaaza kuzuka mada ambazo sio kusudio..
nikipata PC tu yatosha ayo mengine nitapambana nayo mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app