madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alifariki na umri mkubwa hilo tu ni fanikio kubwa chini ya jua.
Hata hivyo mzee Matonya alifariki mwaka 2012 inasemekana akiwa masikini wa kutupwa, zaidi alijivunia miaka yake 90 aliyofariki nayo.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ajabu alipoamua kustaafu na kurudi kijijini kwao, akaja kugundua wajanja walishauza mifugo yake yote. Alikufa kihoroYule aliyekua anasikika kua alikua omba omba huko Dar lkn huko kwao alikua na mijengo na mifugo yakutosha ndio yupi? au zilikua story zavijiweni tu
huyo huyo MATONYA?Kuna muda pia aliwahi kuwa omba omba mkoani Morogoro, maeneo ya ya kwenye daraja njia ya kuelekea town
ndie huyo huyoYule aliyekua anasikika kua alikua omba omba huko Dar lkn huko kwao alikua na mijengo na mifugo yakutosha ndio yupi? au zilikua story zavijiweni tu
ulimuona?Alikua na style yake moja hivi ya kuomba,Analala chini huku akiwa amevua shati,halafu kopo lake analiweka juu ya tumbo lake,watu wakipita wanatupia tu misaada yao huku yeye kuna muda mwingine akiwa kauchapa usingizi.
Ndio,chimbo lake lilikua mitaa ya Posta huko.ulimuona?
Alipaata kuwepo bwana mmoja wa kuitwa Matonya David Paulo, mzaliwa wa kijiji cha Mpamatwa wilayani Bahi,Mkoa wa Dodoma. Aliishi Dar es Salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1961.
Alikua maarufu sana hapa nchini kwa ajili ya kazi yake ya kuombaomba. Ilifika hatua hadi watu walikua wanataniana hasa wale wenye tabia za kuomba kuomba kwa kuitana Matonya.
Aliwahi kupingana na aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam mzee Yusuf Makamba kuhusu kurudi kwao Bahi na kudai yeye ni mtoto wa mjini hivyo Makamba asingemuweza. Ilifikia hatua alipachikwa jina la utani kuwa yeye ni 'kiboko ya Makamba'. Hadi ndugu Professor Jay alimuimba kwenye mashairi ya wimbo wake Bongo Dar es Salaam akiwa amemshirikisha mwanadada LadyJaydee.
'Upinzani bongo haupo
Simba na Yanga,
Matonya na Makamba,
Site na wamachinga'.
Kutokana na mivutano iliyokuwepo kipindi hicho kati ya mzee Matonya na Mzee Makamba. Huku tena askari wa jiji maarufu 'City' japo wengi walikua wanatamka 'site' upande wao nao kilichimbika sana na wamachinga na mama Ntilie. Mixer kumwagiana majungu ya makulaji huku kukimbizana mpera mpera na bidhaa mikononi.
Hata hivyo mzee Matonya alifariki mwaka 2012 inasemekana akiwa masikini wa kutupwa, zaidi alijivunia miaka yake 90 aliyofariki nayo.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mto morogoro eneo la shani darajaniKuna muda pia aliwahi kuwa omba omba mkoani Morogoro, maeneo ya ya kwenye daraja njia ya kuelekea town
duuh !!!!Ndio,chimbo lake lilikua mitaa ya Posta huko.
ndie huyo?
watu mnafukua makaburi nyie,
Yeah ,huyo huyo baada ya operation ya Makamba kufukuza ombaomba Dar ,Matonya alihamia Moro.Mara nyingi alikuwa anapatikana pale station ya Trenihuyo huyo MATONYA?
Naskia ndio ufahari wa watu wa idodomia wagogo.Yeah ,huyo huyo baada ya operation ya Makamba kufukuza ombaomba Dar ,Matonya alihamia Moro.Mara nyingi alikuwa anapatikana pale station ya TreniView attachment 1606027View attachment 1606035
Jf kweli hatari, kila picha imo.