M MI6 Senior Member Joined Jul 19, 2012 Posts 175 Reaction score 21 Jul 29, 2012 #1 Bondia wa Tanzania Kidunda amepigwa na bondia wa Moldovia mda mchache uliopota. kapigwa kwa point 8-2, 5-2, 7-3. Footbal: Misri 1-Newzland 1.
Bondia wa Tanzania Kidunda amepigwa na bondia wa Moldovia mda mchache uliopota. kapigwa kwa point 8-2, 5-2, 7-3. Footbal: Misri 1-Newzland 1.
cement JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 581 Reaction score 221 Jul 29, 2012 #2 Hii kali bora wangekuwa hawaendi tu tuwe tunajua moja!tatizo wanaoenda hawana uwezo wowote kupoeperusha bebdera yetu sema wanapelekana huko kiukoo ukoo tu!cjui kama tutakuja kubadilika!
Hii kali bora wangekuwa hawaendi tu tuwe tunajua moja!tatizo wanaoenda hawana uwezo wowote kupoeperusha bebdera yetu sema wanapelekana huko kiukoo ukoo tu!cjui kama tutakuja kubadilika!