Mafanikio ya Maria Sharapova ni pale Serena Williams atakapostaafu, kwani anayewangusha ni yeye tu, na kwa tukio hili ameshamteremsha zaidi kwenye ubora duniani.
Huyu Sharapova anakuzwa tu na vyombo vya habari, kuna ambao walistahili kupata sifa anazopata. lakini vyombo vya habari vimemfanya awe na kipato cha juu kutokana na matangazo tu wakati ulingoni anafaia vumbi na nyasi na kuacha mpira unapita kama upepo wa kisulisuli.