"Hatupumulii mashine kama wanavyodhani, hakuna wakati CHADEMA imekuwa imara kama wakati huu. Tunafanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye vikao vyetu vya ndani. Tunazunguka nchi nzima kwa ajili ya kukutana na wanachama wetu hadi wale waliopo kwenye vitongoji. Kwa namna nyingine tunaweza kusema Rais Magufuli amekuwa fursa baada ya kutuzuia mikutano ya hadhara, ametufanya tumekuwa imara kuliko awali"- Sosopi.
#MyTake Umenena vyema, na sisi hatuna budi kukubaliana na na wewe maana unakiwakilisha chama kikubwa cha upinzani nchini, na umebeba maono ya vijana wote wa chama chako ukiwa kama mwenyekiti.
Cha msingi msije kupoteza tena kumbukumbu
Sent using
Jamii Forums mobile app