Ndo maelekezo aliyopewa ndo maana anajeuri na nafas yake ...Katika watu wenye ndoto mfu ni huyu dc wa hai eti mkakati wake ni kumtoa mbowe pale hai
Ameanza sera ya divide and rule...
Watu wa hai hatujaribiwi umoja wa wananchi wa Hai anaujua kikamilifu
Wananchi wa Hai waliwapa wabunge wa ccm miaka kadhaa ilopita huko ubunge but nothing change
Zaidi walikua wakisinzia bungeni na kusema hai hakuna shida yoyote labda wapewe tu bunduki za kuua manyani wanaokula mazao"hayo ni maneno ya mbunge mmoja wa ccm
Hizo ndo akili za maccm wengi
Ole sabayi unajisahau kuwa wewe ni mla rushwa,tapeli na mzinzi uliyetukuka ila soon mungu atazidi kukuumbua...
Najua wale vijana wako unaowalipa elfu 20 kwa mwezi wapo jumla 13 ili watukane na kukutetea mtandaoni watatukana sana ila wajue mwisho wa kina cha maji ni hapa
"Ndoto zako mfu hazitokupeleka kokote hakuna sehemu hai kwa ajili ya wala rushwa wachafu kama wewe na hao waliokutuma uwaambie kabisa"
Hatuwaachii nguruwe shamba.tulianza Hai, tupo Mbeya vituo vinavyofuata vinajulikana ni kuondoa mmoja mmoja mpaka anabaki mmoja tu 2020.
Tapeli mwenzio huyoMbowe kwa mujibu wa Sheria mpya ya vyama vya Siasa haruhusiwi kugombea ubunge sababu alishakutwa na hatia ya kukwepa kodi. Alahukumiwa kuwa na hatia .Keshajing'oa mwenyewe kugombea
Hivi ubunge unalipa zaidi ya Ukuu wa wilaya ?tulianza Hai, tupo Mbeya vituo vinavyofuata vinajulikana ni kuondoa mmoja mmoja mpaka anabaki mmoja tu 2020.
2020 ule haukuwa uchaguziMbowe aling'olewa si mbunge tena wa Hai
Sasa hivi anakuna Nazi tu. In short amekuwa jobless Hana ishu na vile alizoea pesa za ujangili na starehe sina uhakika kama hata ana kibanda cha mpesa.Katika watu wenye ndoto mfu ni huyu dc wa hai eti mkakati wake ni kumtoa mbowe pale hai