peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,302
- 31,559
Peleka ushahidi wa jinsi alivyokubakaMwambie atulie Kwanza
Lete ushahidi achana na stori za kuambiwaTaarifa za ndani ya gereza la Karanga zinaonyesha , General Sabaya anaishi na simu yake ya mkononi huko Gereza la Karanga na usiku anawasiliana na watu mbali mbali, ikiwemo Ofisi ya DPP.
Je sabaya anaruhusiwa kukaa ns simu Gerezani?
Kama haruhusiwi mkuu wa Gereza na Karanga unaitafuta serikali maneno.
Ninakuwekea namba za simu ambazo sabaya amekuwa akipiga na kuongea nazo kwa simu yake na TCRA wazipokee . Huku sio Fb mkuuLete ushahidi achana na stori za kuambiwa
Toa ushahidi, kilichopo ni kwamba hakuna mfungwa wala mahabusu anaekaa na simuNinakuwekea namba za simu ambazo sabaya amekuwa akipiga na kuongea nazo kwa simu yake na TCRA wazipokee . Huku sio Fb mkuu
kaka hii nchi ni ngumu, ukitaka kujaribu kila kitu presha itakupanda.Taarifa za ndani ya gereza la Karanga zinaonyesha , General Sabaya anaishi na simu yake ya mkononi huko Gereza la Karanga na usiku anawasiliana na watu mbali mbali, ikiwemo Ofisi ya DP...
General Sabaya anayo na anaitumia kupigia watu, nitaweka orodha ya watu na simu nsmba anazopigia watu .Toa ushahidi, kilichopo ni kwamba hakuna mfungwa wala mahabusu anaekaa na simu
Hahahaaaaa!!Anajua ni FESIBUKUNinakuwekea namba za simu ambazo sabaya amekuwa akipiga na kuongea nazo kwa simu yake na TCRA wazipokee . Huku sio Fb mkuu
Kama ni kweli hii mbaya Sana afunguliwe Kesi ya kumiliki simu ndani ya gereza na ikiisha hii ndo ianze hyo ya simu, nakumbuka kuna mwamba mmoja nae alikua ana simu akiwa jela akawa anampigia bro JK kutokea gerezan kilichotokea ni akapewa Kesi ingine tena. Hebu weka namba nimuulize kama amekula ugali na nini mchana huu na je akitoka atakoma ujinga wake ule auTaarifa za ndani ya gereza la Karanga zinaonyesha , General Sabaya anaishi na simu yake ya mkononi huko Gereza la Karanga na usiku anawasiliana na watu mbali mbali, ikiwemo Ofisi ya DPP.
Je, sabaya anaruhusiwa kukaa ns simu Gerezani?
Kama haruhusiwi mkuu wa Gereza la Karanga unaitafuta serikali maneno.
Alikua ni Amatus Liyumba wa BOT.Kama ni kweli hii mbaya Sana afunguliwe Kesi ya kumiliki simu ndani ya gereza na ikiisha hii ndo ianze hyo ya simu, nakumbuka kuna mwamba mmoja nae alikua ana simu akiwa jela akawa anampigia bro JK kutokea gerezan kilichotokea ni akapewa Kesi ingine tena. Hebu weka namba nimuulize kama amekula ugali na nini mchana huu na je akitoka atakoma ujinga wake ule au
Namba anayowasiliana / wanao Wasiliana/ kupigana au kuongea na Sabaya wahusika Hawa hapa.Lete ushahidi achana na stori za kuambiwa
Kiburi cha uzima ukichanganya na madarska ya kuokota ni kibaya sana.Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameieleza Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi kuwa anateseka gerezani kwa kuwa ni mgonjwa na akaomba upande wa mashtaka uharakishe upelelezi wa kesi dhidi yake.
Huku akibubujikwa na machozi, Sabaya alisema gerezani si sehemu ya ‘picknic’.
Sabaya na wenzake wanne wanakabiliwa na mashtaka mbalimbali ikiwemo uhujumu uchumi na kujipatia Sh30 milioni kutoka kwa mfanyabiashara wa Bomang’ombe, Alex Swai aliyedaiwa kukwepa kodi.
Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey.
Kesi hiyo namba 2 ya 2022 yenye inasikilizwa na Hakimu Mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Salome Mshasha. Upande wa Jam huri una mawakili wanne Tumain Kweka, Khalili Nuda, Verediana Mlenza na Suzy Kimaro.
Hata hivyo, wakati wakili Mlenza akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo kutokana na upelelezi wa shauri hilo kutokamilika, Sabaya alinyoosha mkono mahakamani hapo na alipopewa nafasi alitoa ombi lake
Ombi la Sabaya
“Mheshimiwa hakimu, kwa kuwa kesi hii ililetwa hapa Juni mosi mwaka huu na ikaelezwa mbele ya mahakama hii kuwa upelelezi umekamilika na mwendesha mashtaka akaomba tarehe ya karibu kwa ajili ya usikilizwahi wa kesi hii, kinachokwamisha kesi hii ni nini, tunaonewa, tunaomba Ofisi ya DPP ijue kinachofanyika kwenye ofisi yake.”
“Wakati tunaletwa Gereza la Karanga tulichukuliwa mazingira ya usiku na ya kutisha, tunaumia sana tunateseka na mimi ni mgonjwa, tuna imani na ofisi ya DPP ndiyo maana tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aingilie kati kwa sababu tunaonewa,” alieleza Sabaya.
Wakili wa utetezi, Hellen Mahuna aliutaka upande wa mashtaka kuwa makini kwa kuwa ulishasema upelelezi umekamilika nna jana ukasema haujakamilika.
Hakimu anayeisikiliza kesi hiyo, Mshasha alisema hoja ya upande wa utetezi ni za msingi kwa kuwa awali upande wa mashitaka waliieleza mahakama kuwa upelelezi umekamilika.
“Nimesikiliza hoja za pande zote mbili,na hoja za upande wa utetezi ni za msingi na zina mashiko kwa hiyo naahirisha kesi hii mpaka Julai 4 mwaka huu angalau upande wa mashtaka uje na hitimisho,” alisema.
Mwananchi
Huku akibubujikwa na machozi, Sabaya alisema gerezani si sehemu ya ‘picknic’.
Justice delayed is justice denied.Wakati tunaletwa Gereza la Karanga tulichukuliwa mazingira ya usiku na ya kutisha, tunaumia sana tunateseka na mimi ni mgonjwa, tuna imani na ofisi ya DPP ndiyo maana tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aingilie kati kwa sababu tunaonewa,” alieleza Sabaya.