Kutoka chanzo cha kuaminika inasemekana mrithi wa mh Lowassa monduli ameshajulikana.mkurugenzi mstaafu wa kituo cha uwekezaji bwana emmanuel ole naiko.kwa wale mnaomfahamu tujuzeni habari za mtu huyu.
source-diwani wa viti maalumu na mtu wa karibu wa ole naiko.