shukrani sana mkuu,hii nyimbo niliipenda sana na nadhani ndio nyimbo best kabisa ya mapenzi niliyowahi kusikia.vipi mkuu unazo nyimbo zao hawa jamaa kama ile usinicheke?Yaan ni wewe tu pekee hakuna mwingine kwenye ulimwengu huu, Honey ni wewe tu pekee hakuna mwingine kwenye ulimwengu huuuu
Hata nafsi yangu unaweza kuinyima raha kuitoa kwenye faraja na kuiweka kwenye karaha
toka moyon mwangu huba wangu sikiaaa, usiniache huba wangu vumilia nafsi yangu inakuomba vumiliaaaa
ipo siku ya dunia ya yatatunyookeaaaa vumiliaaaa vumiliaaaaa vumiliaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaa
That is the best love song ever
Hapana mkuu sina hata mm hii niitafuta sana kwenye mitandao hadi kuipatashukrani sana mkuu,hii nyimbo niliipenda sana na nadhani ndio nyimbo best kabisa ya mapenzi niliyowahi kusikia.vipi mkuu unazo nyimbo zao hawa jamaa kama ile usinicheke?
shukrani sana mkuu,hii nyimbo niliipenda sana na nadhani ndio nyimbo best kabisa ya mapenzi niliyowahi kusikia.vipi mkuu unazo nyimbo zao hawa jamaa kama ile usinicheke?
Hapana mkuu sina hata mm hii niitafuta sana kwenye mitandao hadi kuipata