Old habits die hard!

Jamaa namkubali sana, katoa amri dresses code za wanawake ziendane na jinsi yao
 
Marekani na marais wao: Trump na JFK wapenda nyuchi; Barack, Clinton na Washington wala ganja; Reagan msanii; Bush Jr. nyoka....
 
Mkarimu?wakati ana thaminisha chura hapo.
Sifahamu kama anathaminisha hicho unachokisema ...! Ninachojua jamaa ni mkarimu hayo mengine siyajui. Kila binadamu ana madhaifu yake, siwezi kumuona sio mkarimu kwa udhaifu wake, wala madhaifu yake hayamfanyi kutokua mkarimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…