demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,309 Reaction score 15,288 Aug 11, 2017 #61 barafuyamoto said: Imeandikwa kwa kizungu, tafsiri peleka bwawani pale kwenye vyura! Click to expand... Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period. Jibu swali.Hahahaha
barafuyamoto said: Imeandikwa kwa kizungu, tafsiri peleka bwawani pale kwenye vyura! Click to expand... Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period. Jibu swali.Hahahaha
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Aug 11, 2017 #62 demigod said: Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period. Jibu swali.Hahahaha Click to expand... Okei.
demigod said: Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period. Jibu swali.Hahahaha Click to expand... Okei.
D deosdedit nilingo Member Joined Dec 25, 2015 Posts 14 Reaction score 3 Aug 11, 2017 #63 Uzoefu utawasaidia wachezaji wenzake lkn hawezi kuwa kama zamani, na kwenye. mechi za kimataifa atasaidia sana kulikoni kwenye ligi yetu Sent using Jamii Forums mobile app
Uzoefu utawasaidia wachezaji wenzake lkn hawezi kuwa kama zamani, na kwenye. mechi za kimataifa atasaidia sana kulikoni kwenye ligi yetu Sent using Jamii Forums mobile app
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Aug 12, 2017 #64 demigod said: Bila kusahau kati ya mabao 5 hayo . Ni manne 4 alifungwa kipa wenu chaguo la pili NDUDA. Click to expand... He he heee! Very low! Inayofungwa ni timu si mchezaji. Hebu nipe rekodi yoyote inayosema Simba 4 Nduda 0. Hakunaa! Lakini Simba 5 Yanga 0 rekodi zimejaa tele
demigod said: Bila kusahau kati ya mabao 5 hayo . Ni manne 4 alifungwa kipa wenu chaguo la pili NDUDA. Click to expand... He he heee! Very low! Inayofungwa ni timu si mchezaji. Hebu nipe rekodi yoyote inayosema Simba 4 Nduda 0. Hakunaa! Lakini Simba 5 Yanga 0 rekodi zimejaa tele
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Aug 12, 2017 #66 Yaani uzi wote mzima unamzungumzia Okwi! He he heee!
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Aug 12, 2017 #67 Nanoli said: Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa...... Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii! Click to expand... Yanga imechapwa 1-0 na Ruvu Shooting ya Mlandizi. Wazee wa kutathmini viwango vya magalasa mapya njooni mtuchambulie basi cc: demigod
Nanoli said: Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa...... Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii! Click to expand... Yanga imechapwa 1-0 na Ruvu Shooting ya Mlandizi. Wazee wa kutathmini viwango vya magalasa mapya njooni mtuchambulie basi cc: demigod
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,945 Reaction score 5,082 Aug 12, 2017 #68 Faru Kabula said: Yanga imechapwa 1-0 na Ruvu Shooting ya Mlandizi. Wazee wa kutathmini viwango vya magalasa mapya njooni mtuchambulie basi cc: demigod Click to expand... watuchambulie Ajibu hapa Sent using Jamii Forums mobile app
Faru Kabula said: Yanga imechapwa 1-0 na Ruvu Shooting ya Mlandizi. Wazee wa kutathmini viwango vya magalasa mapya njooni mtuchambulie basi cc: demigod Click to expand... watuchambulie Ajibu hapa Sent using Jamii Forums mobile app
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,978 Aug 25, 2017 Thread starter #69 Nafikiri wote tumejionea muhenga wetu mpendwa akijigongagonga pale taifa.. "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Nafikiri wote tumejionea muhenga wetu mpendwa akijigongagonga pale taifa.. "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,292 Reaction score 31,934 Aug 25, 2017 #70 Faru Kabula said: Yaani uzi wote mzima unamzungumzia Okwi! He he heee! Click to expand... Kuwa serious basi!
Faru Kabula said: Yaani uzi wote mzima unamzungumzia Okwi! He he heee! Click to expand... Kuwa serious basi!
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,303 Aug 26, 2017 #71 Okwi huyu sijui
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,058 Reaction score 134,392 Aug 26, 2017 #72 demigod said: Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period. Jibu swali.Hahahaha Click to expand... Uko wapi gongo wazi utusaidie kuhesabu magoli
demigod said: Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period. Jibu swali.Hahahaha Click to expand... Uko wapi gongo wazi utusaidie kuhesabu magoli
Zigu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 315 Reaction score 193 Aug 26, 2017 #73 Nanoli said: Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa...... Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii! Click to expand... Kuja huku Nanoli Sent using Jamii Forums mobile app
Nanoli said: Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa...... Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii! Click to expand... Kuja huku Nanoli Sent using Jamii Forums mobile app
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Aug 26, 2017 #74 Nanoli said: Nafikiri wote tumejionea muhenga wetu mpendwa akijigongagonga pale taifa.. "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama" Click to expand... Hahahaha tumeona alivokuwa anajigonga gonga na nyavu.... Vyura bhana....kelele nyiiingi.
Nanoli said: Nafikiri wote tumejionea muhenga wetu mpendwa akijigongagonga pale taifa.. "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama" Click to expand... Hahahaha tumeona alivokuwa anajigonga gonga na nyavu.... Vyura bhana....kelele nyiiingi.
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Aug 26, 2017 #75 Nanoli said: Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa...... Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii! Click to expand... Yule galasa katoa salamu zake Sent using Jamii Forums mobile app
Nanoli said: Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa...... Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii! Click to expand... Yule galasa katoa salamu zake Sent using Jamii Forums mobile app
S sekisiwa Member Joined Nov 12, 2016 Posts 63 Reaction score 21 Aug 26, 2017 #76 Mbwa wewe usie kuwa na marinda Sent using Jamii Forums mobile app
mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,170 Reaction score 3,106 Aug 26, 2017 #77 sekisiwa said: Mbwa wewe usie kuwa na marinda Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha! Kaka una hasira naye sana
sekisiwa said: Mbwa wewe usie kuwa na marinda Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha! Kaka una hasira naye sana
S siti ya mbele Senior Member Joined May 3, 2017 Posts 183 Reaction score 146 Aug 26, 2017 #78 kapiga 4 una nyongeza Sent using Jamii Forums mobile app
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,309 Reaction score 15,288 Aug 26, 2017 #79 OKW BOBAN SUNZU said: Uko wapi gongo wazi utusaidie kuhesabu magoli Click to expand... Hatujaanza leo kupiga wanyonge kama hao nyingi nyingi.
OKW BOBAN SUNZU said: Uko wapi gongo wazi utusaidie kuhesabu magoli Click to expand... Hatujaanza leo kupiga wanyonge kama hao nyingi nyingi.
L lingula70 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 4,053 Reaction score 1,966 Aug 26, 2017 #80 Kaua Sent using Jamii Forums mobile app