OIC - Zanzibar kujiunga kivyake vyake

Si tu waachiwe wajiunge na OIC, wapewe uhuru wao kamili kama nchi inayojitegemea kwa kila kitu, nadhani tutakuwa tumepunguza matatizo mengi sana
Tatizo Serikali ya Tanganyika imejaa wezi kuanzia Mawaziri mpaka Raisi sasa wale wenzao wa Zanzibar wanaona hawapati kitu,uchotaji kwenye BOT ni wa hatari ,majumba ya BOT ni hatari,sijui Kagoda EPA na mambo kibao,yote yanawafanya Watanganyika kuwa na vitambi pale serikalini,ona yule mzee wa vijisenti ni muda mfupi tu alipata kazi serikalini lakini haijulikani ni miujiza gani ilimtokea akaweza kutengeneza feza kiurahisi.
Sasa na huku Zanzibar wanaona kama ni kusubiri jamaa wanaojaza matumbo kwa kasi na ari mpya watakufa njaa na kubaki kusinyaa tu ,maana hata Kikwete nae yeye na ameanza kujaza jaza na mawaziri wake usiseme utafikiri wanakula hamira ,ila Karume amekondeana yeye na mawaziri wake ni wanyonge ,huku sehemu za kupata feza zimebanwa na Serikali ya Kikwete wanabaki kuuza ardhi kwa wataliana.
 
Yaani Zanzibar haiwezi kujinunulia matrekta 50 mpake ipewe na OIC?

Kwanini ijinunulie wakati kipato kinahodhiwa na serikali ya muungano. Ama kwa kutowa fedha Zanzibar ni nchi na ijitegemee lakini midomoni Zanzibar ni sehemu ya Tanzania THIS IS DOUBLE STANDARD ya WABONGO.
 
Kukaa tu na kupenda tu kupewa Misaada ndo imetufikisha hapa sasa miaka 40 tukiwa huru!

Misaada kwa Zanzibar ni kero lakini tunachekelea misaada ya ulaya kwenye Bajeti na hata kufikiria kuwa Obama atatukombowa. Kichekesho !!!!!!
 
Misaada kwa Zanzibar ni kero lakini tunachekelea misaada ya ulaya kwenye Bajeti na hata kufikiria kuwa Obama atatukombowa. Kichekesho !!!!!!
Yaani kuanazia viongozi wa Tanganyika mpaka baazi ya raia zao ni choyo kitupu.
 

Kweli wewe ni Wakuja.Ali Uki, Farouk Karim< Masomo Bookshop, Kibanda maiti, Mchamawima vyote viakuelza Identity yako. Hata hivyo karibu Uzanzibar si Kuzaliwa bali ni kuwa mzalendo na Uzanzibari na msingi wa mwanzo ukubali kuwa Zanzibar ni nchi. Kina Karume Mkubwa, Saidi Natepe, Khamis Darweshi na wengine walio hai kama Mwinyi, Jumbe, Nassoro Moyo walikubali kuwa Wazanzibari ingawa wengine walirudi makwao baadae. Karibu upo Uzanzibari Poa.
 
Wewe Mwiba acha UTANI. SMZ is always strong.
 
Du Ngekewa umemueleza huyo. Uzanzibari- na atafute sheria ya Uzanzibari- Baraza la Wawakilishi. Pasco ni Mzanzibari lakini usiwe na fujo.
 
Hii inaonyesha viongozi wengi hawana upeo wa maendeleo, fikra zao zimejikita katika kusaidiwa tu kutoka nje. Wanafikri maendeleo ya nchi ni misaada kuliko kujituma wenyewe ndio kwa maana nchi inazidi kutumbukia katika dimbwi la umasikini. Kama ni kweli vipi wanashindwa kununua matrekta 50 na wanaweza kununua magari ya kifahari kwa mawaziri wao wachache kwa gharama kubwa kuliko ya hayo matrekta ambayo wanataka wasaidiwe.
 

Ni kweli usemayo lakini viongozi wetu ni miongoni mwetu na sote tuna kijitabia cha kutegemea labda kwa kuwa hata tukijituma maendeleo ni magumu kufikiwa. Hebu fikiria ndani ya familia zetu waliobahatika basi wanabidi watubebe wengine na kam nilivyosema hatupendi lakini vikwazo vinazidi jitihada zetu. Jee kama viko readymade tusivifuate. Tunashindwa kujitowa muhanga kwa kutegemea kuwa binaadamu wenzetu watatusaidia. Na hili si Tanzania tu kwani unajuwa kuwa kuna nchi nyengine huemdeshewa Balozi zao kwenye nchi wenyeji. Samahani pengine nitaonekana ni mtegemezi lakini kwei siko tayari kufa kwa kukataa msada lakini nitajitahidi misaada isiwe ya maisha.
 
IDB ni Benki inayoshughulikia miradi iliyokubaliwa na IOC. Tuangalie na tuone Udini na Siasa upo kwenye mradi?
 

Attachments

  • IDB.jpg
    614.6 KB · Views: 38
kwani "mwalimu" wenu alipolazimisha muungano hakukufundisheni somo la urai kuwa wazanzibar si tu wanajua sana kiswahili lakini wanajua pia marafiki zao ni wepi,wanajua wanachokitaka hata kama tutawalazimisha leo kujiunga nasi kesho wanaweza kukataa hayo yote "mwalimu" aliwafundisha nyinyi haya yote , hamuelewi?
 

Mkuu Mwiba salam,
Hayo madondoo nane uliyotaja kila moja lingestahili kujadiliwa kwa wanaojua na kukumbuka hayo pamoja na ule uji wa Bulga (japokuwa nao ulikuwa ni msaada toka USA) Wakati ule Serekkali ikifuata mipango. Wapi ilianza kwenda MCHOMO sijui my speculation will be soon after AZIMIO LA ARUSHA.
 
Hayo mambo nane ukiyaangalia kwa kina hata Watanganyika yanawagusa ,maana uji wa bulga mwisho,unatoka na sukari yako kwenye karatasi na kopo lako la Blue band lile jumbo size kijiko jani la mwembe ,halafu iwe zamu ya darasa lako kukoroga huo uji isitoshe ushaguliwe kuwa katika timu itakayokuwa jikoni ,aloo ni mwisho.
Hivyo hiyo ni true story kwa kila Mtanzania ambae alizaliwa kabla ya vita ya uganda au tuchukulie alizaliwa kabla ya 1975.
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=ZWr1qHDSznA&feature=PlayList&p=BAE735A85E5C7231&playnext=1&playnext_from=PL&index=10]YouTube - Persecution and Revival of the Church in Islamic Zanzibar[/ame]

OIC?
 
Mkuu MaxShimba salam,
Naomba ufafanuzi wa kuweka hii VIDEO hapa!!! Natanguliza shukrani Mkuu.
 
Mkuu MaxShimba salam,
Naomba ufafanuzi wa kuweka hii VIDEO hapa!!! Natanguliza shukrani Mkuu.


Once a State and/or a Country joins Islamic radical Organization such as OIC, The State will seek Islamic radical and inhuman laws to be imposed and executed in the New Muhammadic Islamic State.

Now, according to the laws of Islam's Allah, it is illegal and/or against the will of allah, for any and all ISLAM/MUSLEM to have a friendship with non believers which are CHRISTIANS, JEWS, AND ANYBOBDY WHO IS AGAINT THE MUHAMMADIC RADICAL FAITH.

Pursuant to Koran, ALLAH OF ISLAMS SAYS, kill all non believers, meaning ALL CHRISTIANS, JEWS, and NON ISLAMS to be beheaded.

If Zanzibar wants to become radical by joining the inhuman organization, OIC, it is clear per my prior visual exhibit that all CHRISTIANS WILL BE EXECUTED by the way of allah's style, BEHEADING.

ALLAH HATES CHRISTIANS AND JEWS, Koran
 


Ushaidi wa kwanza wa chuki ya Islam kwa non believers:
The Qur'an:
Sura (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."

Sura (5:80) - "You will see many of them befriending those who disbelieve; certainly evil is that which their souls have sent before for them, that Allah became displeased with them and in chastisement shall they abide." Those Muslims who befriend unbelievers will abide in hell.

This is what OIC wants and Zanzibar desires and Muslems prays for.


 


[ame=http://www.youtube.com/watch?v=hX7iWFqUQyg]YouTube - Islam in Zanzibar - kidnapping and forced conversions[/ame]


Is this what Zanzibar inforcing?
 





Ni aiubu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…