Si kwel,ukiona mtu analalamika hutimizi ahad ujue ni ahad flan hivNachukia mtu asiyetimiza ahadi hata kama ni ndogo kiasi gani, mfano mdogo umeahidi nitakupigia saa tatu then haupigi mpaka kesho na kesho ikifika hata huoni tatizo
Ahadi ni ahadi tu ndugu yangu haijalishi umeahidi nini unatakiwa kutimiza kama huna mpango wa kutimiza basi usiahidi. Ukiwa na tabia hii nitakuona muongo muongo na hii ni tabia nambari moja ninayoichukia hapa chini ya juaSi kwel,ukiona mtu analalamika hutimizi ahad ujue ni ahad flan hiv
Mwanamke anayejali sana siendani nae na mda si mrefu lazima tutaachana tu kwa hiyo tabia.Nachukia mtu asiyetimiza ahadi hata kama ni ndogo kiasi gani, mfano mdogo umeahidi nitakupigia saa tatu then haupigi mpaka kesho na kesho ikifika hata huoni tatizo
Aisee mimi huwa namaindi vitu vidogo sana yani.Mwanamke anayejali sana siendani nae na mda si mrefu lazima tutaachana tu kwa hiyo tabia.
Ishu ya simu Anatakiwa asubir ntampigia.
1. Unatafakari vipi kauli za "utusamehe makosa yetu kama nasi tuwasameheavyo wanaotukosea"? MATHAYO 6:12Nachukia mtu asiyetimiza ahadi hata kama ni ndogo kiasi gani, mfano mdogo umeahidi nitakupigia saa tatu then haupigi mpaka kesho na kesho ikifika hata huoni tatizo
Ahaaa...kumbe !!! ndo mana namimi nikimuahidi Suzi kuwa ntampigia nisipompigia anamaind sana...Nachukia mtu asiyetimiza ahadi hata kama ni ndogo kiasi gani, mfano mdogo umeahidi nitakupigia saa tatu then haupigi mpaka kesho na kesho ikifika hata huoni tatizo
Si kwel,ukiona mtu analalamika hutimizi ahad ujue ni ahad flan hiv
InakeraAhaaa...kumbe !!! ndo mana namimi nikimuahidi Suzi kuwa ntampigia nisipompigia anamaind sana...
Ndio nimsamehe kila siku? Mara moja au mbili sawa1. Unatafakari vipi kauli za "utusamehe makosa yetu kama nasi tuwasameheavyo wanaotukosea"? MATHAYO 6:12
2. Umeshajitathimini kabla ya kukosoa wengine na kujiona wewe si chanzo cha kutotimiziwa ahadi zako? MATHAYO 7:1-5
3. Wapi penye faida hasa kati ya kusamehe na kujijazia chuki rohoni mwako yani kimwili + kiafya + kiroho + kiakili?