Ogopa namba hii 0713567596.

Huyo kiumbe kama kweli anatamani ayatamaniyo si aombe tu ajira kwenye meli za Wagiriki...
 

kama huyo mtu nimempgia simu nikajua anauza ninunue ye anataka advance kwanza kumbe dume aisee kumbe ningeingia mkenge hata sauti ilinishnda kujua ila ntamkamata tena
 

hahhahhahahhaha,, hii niliiona huwezi amini nashangaa mpaka leo..huyu sidhani kama ni mtu wa kawaida..
 
Kwa hiyo unawatahadharisha wanaopenda ushenzi kama huo?mi naona bora awakomeshe na hamna sababu ya kuwatahadharisha washenzi.
 
duh........hii mitandao sasa ni janga kweli.
 
Aponywe huyo maana sina hakika kama ni mzima .Anadhani hela zinaokotwa.!
 
Intelejensia zinaonyesha anaitwa Ellen Michael
Haijatusaidia sana kama tunaambiwa kuwa ni mwanaumme anaejifanya mwanamke, huku ikituambia kuwa ni mwanamke.
Intelejensia-itufumbulie fumbo
 

kiboko yao alikuwa the utamu sijui kwanini ilifungiwa me nikitoka JF naenda rahatupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…