Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ametangaza rasmi tarahe ya uzinduzi wa ofisi za Manara tv huku ikiwa ni mabadiliko ambapo awali uzinduzi huo ulitakiwa ufanyike November, 2025. Mabadiliko hayo yamechochewa na shughuli za uchaguzi mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo yeye alikuwa ni miongoni mwa wagombea nafasi ya udiwani katika kata ya Kariakoo.