Mkuu kwa maeneo ya Posta nenda mtaa wa Mkwepu. Ulizia ilipo Diplomatic House. kama hawajahama walikuwa jengo hilo orofa ya tatu. Ukiwakosa hapo basi nenda pale Kijitonyama kwenye jengo lao linaloitwa LAPF Millenium Towers (nadhani floor ya sita au saba) pengine unaweza kupata msaada unaohitaji.