mbalamwehu
Member
- Oct 5, 2016
- 64
- 16
Nimejaribu sana ila nimechoka mkuu, hakuna msimamizi wa kueleweka, utani utani mwingiImarisha usimamizi
Office ipo ubungo maziwa karibu na az mamuya sec schoolIko wapi?
Post sent using JamiiForums mobile app
Aisee pole sana.Nimejaribu sana ila nimechoka mkuu, hakuna msimamizi wa kueleweka, utani utani mwingi
Post sent using JamiiForums mobile app
Naiuza ili angalau nipunguze stress mkuuAisee pole sana.
Basi fanya lolote ili ulinde mfuko japo kidogo
Haina shaka mkuu, karibu sanaKama vitakuwepo adi mwezi wa nane nitakutafuta mkuu
Niliweka pay 2, ila kwa hasira nikauza bei ya kutupa kutokana na mzaha mzaha wa usimamizi, vipi kama ningeweka ps4 yenye thamani zaid ya 1 million, ningelia hakikaKwanini usifanye mpango wa play station 4 na CD kwa baadhi ya game nzuri zinazopendwa na flash GB 64 moja tu, pia ukawa na x box 1, hakika utapata wateja wengi.
Jaribu kuwa mbunifu katika kazi yako.
Mean ps 3Niliweka pay 2, ila kwa hasira nikauza bei ya kutupa kutokana na mzaha mzaha wa usimamizi, vipi kama ningeweka ps4 yenye thamani zaid ya 1 million, ningelia hakika
Post sent using JamiiForums mobile app
Play station 3 ni laki 5,Mean ps 3
Post sent using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa ushauri mkuu, ila ushauri umekuja little late, nimeuza ps3 na tv zake tayarPlay station 3 ni laki 5,
Na play station 4 ni laki 8.
Ndio ni lazima ungeingia hasara kubwa ila bado unayo nafasi ya kubadilisha ama kutengeneza vyema na ikavutiwa na kupendeza ni ubunifu tu siku zote.