Hahaha,siunajua tena Mrangi,
Mie napenda kuwa muwazi,maana mtu akija ajua kabisaa kwamba tunapiga pasu.
Huwa sipendi sana hadaa,maana mwisho wake sio mwema,hizi pesa tunatafuta mwisho wake tunaziacha.
Sasa ni bora kama kupata wote tujue tunapata jasho letu halali kwa kazi tumeyomfanyia mhusika.