Ni pale inapolazimika tuu kwamba hakuna jinsi na unavyovunja namna hiyo unakuwa unajua . Kilichopa hapa ni tofauti kabisa, yeye wala hajui kama amefanya kaso na aliyetakiwa kulijua kosa hilo na kumwambia/ kumrekebisha " kama yupo" hakuifanya kazi h iyo. Ni rai yangu kuwa ukishafikia level flani ya usanii ujumbe unaoutoa unasamba k wa wengi, werevu na wajinga hivyo wjitahidi sii tuu kuwa na wakataviouno wa video lakini bali wataalamu wa idara mbalimbali kama wa lugha ili kuhakikisha anapotoa kitu kwenye jimii basi kina lika bila maswaliMmh ndugu ume mmblame bure tu, coz Kwa kuzingatia kazi ya msanii anaruhusiwa outbreak up grammatical rules ili kufikish intended message
Ni kweli mkuu,,ukizingatia na nyimbo zinasikilizwa na watoto pia ambao hawajui lolote kwahiyo wanameza errors kama zilivyo..Ni pale inapolazimika tuu kwamba hakuna jinsi na unavyovunja namna hiyo unakuwa unajua . Kilichopa hapa ni tofauti kabisa, yeye wala hajui kama amefanya kaso na aliyetakiwa kulijua kosa hilo na kumwambia/ kumrekebisha " kama yupo" hakuifanya kazi h iyo. Ni rai yangu kuwa ukishafikia level flani ya usanii ujumbe unaoutoa unasamba k wa wengi, werevu na wajinga hivyo wjitahidi sii tuu kuwa na wakataviouno wa video lakini bali wataalamu wa idara mbalimbali kama wa lugha ili kuhakikisha anapotoa kitu kwenye jimii basi kina lika bila maswali
King mswati mkuuTuseme kamfunika yule bwana mswahili mswahili anayejiuma uma kwenye intaviu sijui anaitwa kingi nani vile???[emoji23][emoji23][emoji23]
hauwezi ukawa ushauri huuHarmonize namshauri atafute mgogoro na Diamond ikiwezekana aondoke WCB ili awe zaidi ya hapo.
KibakuliTuseme kamfunika yule bwana mswahili mswahili anayejiuma uma kwenye intaviu sijui anaitwa kingi nani vile???[emoji23][emoji23][emoji23]
Aki ondoka wcb kuna mawili either kuanguka au kua bora zaidiHarmonize namshauri atafute mgogoro na Diamond ikiwezekana aondoke WCB ili awe zaidi ya hapo.
yaani mie huyo nk nk ndo huwa simuelewagi kabisa anachoimba.Ni moja ya masanii ambaye sijawai elewa anachoimba..
Simtofautishi na sjui luludiva,maromboso,lavalava,saida kaloli nk nk
Kwel kabs mkuuHuyu mtoto sio wa nchi hii mkuu,anaimba balaa
Iliyomwinua ni hiyo hiyo WCB, aondoke aone kama hajapotea kama Richard wa Mavoko!Harmonize namshauri atafute mgogoro na Diamond ikiwezekana aondoke WCB ili awe zaidi ya hapo.
Wewe umewahi kuimba nini!? Hata Diamond wakati anaanza alikutana na watu waliojali ustawi wa wenzao kama wewe lakini Leo ana mafanikio asiyokuwa nayo mwanamuziki yeyote nchi hii. Waache wanaohituma waendelee wewe kamshangilie Kiba100!Ni moja ya masanii ambaye sijawai elewa anachoimba..
Simtofautishi na sjui luludiva,maromboso,lavalava,saida kaloli nk nk