Office za TTCL North Dar es salaam

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
Ninashida ya kufika hizi office za TTCL Dar es salaam NORTH,zipo maeneo gani hapa Dar?

Msaada wakuu

Mimi Deadbody
 
Zipo pale science kijitonyama kama unaelekea mikocheni
 
Ninashida ya kufika hizi office za TTCL Dar es salaam NORTH,zipo maeneo gani hapa Dar?

Msaada wakuu

Mimi Deadbody
Shukia kituo cha sayansi , jengo limepigwa nembo ya Generation T. Solved opposite na Jengo la sayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…