Tena sio moja, maghorofa yakutoshaOpposite na Dar free market kuna nyumba za NHC?
Sio NHC. Nyumba za watu binafsi. Zilikuwa za serikali wakauziwa wakazi.
Sio NHC. Nyumba za watu binafsi. Zilikuwa za serikali wakauziwa wakazi.
Hayajajengwa na NHC yalikuwa ya serikali chini ya TBA in fact ya mkoloni hayo ikapewa serikali. Ungeeleweka ukisema ya 'serikali' ukisema NHC utapoteza watu.mkuu kwahiyo ningeyaitaje? Yamejengwa na NHC nimesema hivyo ili iwe rahisi watu kuelewa, nafahamu wameuzia watu ila still zimezoeleka kuitwa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ofisi nzuri sana ila nashangaa kuona mpka leo hajapata mteja.
Kweli magu kabsa
Miss u JK
Sent using Jamii Forums mobile app