Unajua sio sikuamini tatizo kuna mizigo imeuzwa kwa bei kubwa na sasa wanakuta wengi kuiinunua wengi wameamua kununua cheapest laptop
mimi mmoja wapo kwa kweli ..na ndio mana sijashangaa kuona mkurugenzi wa ....ana katochi ukimuliza sio kashindwa kununua bali alishatendwa kw akununu za bei gali na kujuta so anaamua kununua ya bei ya chini ambayo ukipga anakusikia na sms anakujibu...
Big up mjasiriamali wangu