Habari wadau!
Mzigo mpya wa magauni umeingia, wahi mapema, kuna magauni ya kiofisi, mafupi kwa marefu, blouse za shiphone, sketi ndefu kwa fupi pamoja na nguo za sherehe; bei n sawa na buree.
Duka lipo Mpakani-Mwenge karibu na ofisi ya serikali za mtaa hapa mpakani. Pia tunauza kwa bei ya jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi piga 0659965555 au 0766866683