Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,855
Kama una-
1. mini-supermarket
2. Pharmacy
3. wholesale shop
4. Hardware
5. nk
Umehangaika sana na mahesabu kujua faida na hasara mpaka upige hesabu mwisho wa mwezi
hujui bidhaa gani zinaenda sana na zipi zimekaribia kuisha
Hujui balance ya bidhaa zako
Hufahamu mali yako ina value kiasi gani
Unamfanyakazi zaidi ya moja na hujui yupi anauza sana
Basi umepata msaada kuna system ya pos(point of sale) Ambayo itakusaidia kusolve matatizo hayo hapo juu
1. Utafaham faida au hasara ya siku wiki, mwezi hadi mwaka na miaka
2. utafaham bidhaa zako zimebaki kiasi gani
3. utafaham bidhaa gani zinaenda kwa haraka
4. mfanyakazi yupi anauza sana
5. value ya bidhaa zako zote ndani ya duka lako
Bei ni nafuu 500,000/=
cha muhimu uwe na computer
kwa ziada ya 200,000/= unaweza kuaccess system yako popote pale duniani ilimradi uwe na internet connection
Hii system imeshaonesha mafanikio sana...
Hii ni kwa kesho tu (jumatatu) kabla sijaondoka mwanza