Oeni mabinti wa kisambaa mfurahie maisha

Ni wakarimu sana, jiandae kisaikolojia...hawanyimi na uzalishaji mali jitahidi sana kwani huna msaidizi zaidi ya kufaidi kei
Wanajichukulia ni watu dhaifu na wakuletewa hata awe na kazi yake kufanya kitu cha maendeleo hakuna. Kuna msemo wao wanasema wanawake wa kisambaa unaweza kuondoka mwaka ukaiacha ndoa mahali ukaikuta hapo hapo hawaisogezi means suala la yeye kanzisha jambo la maendelea ni nadra..
 
Habari za jioni wandugu wote humu ndani.Baada ya pilika zote za kutafuta mwenza wa maisha hatimae nimeangukia Kwa bint wa kisambaa kutoka Kauzeni Maramba Tanga.

Nilikotoka ilikuwa vita ya isiyoisha kila siku sitataja kabila la mke wa awali.Nilibanikwa roho ikauma kila sekunde mpaka nikadhoofu.

Baada ya kupata kimwana mweupe bila mkorogo umbo kama la Shunie nahisi kama kupaa.Mipango mingi iliyovurugika inarudi vema kila siku kama Christmas.

Bint ni mpole sio mkali mpaka namchokoza angalau aongee nione dimpoz za kisambaa macho yake goroli meno meupe yaliyo takaswa kwa maji ya milima ya usambara.

Naulizwa kama nataka kwenda kuoga ya moto au baridi ananisugua na brash la dodoki huko bafuni nafutwa maji na taulo linalonukia namwambia asante mke wangu.

Nachuliwa mgongo nirudipo safarini kabla ya kuandaliwa magimbi ya nazi niyapendayo sana.

Sitamaliza jamani sifa zake nimeona nishee nanyi raha nipatazo.
 
Weka picha
22780155_2014249508808108_7097764734291889582_n.jpg
 
Wanajichukulia ni watu dhaifu na wakuletewa hata awe na kazi yake kufanya kitu cha maendeleo hakuna. Kuna msemo wao wanasema wanawake wa kisambaa unaweza kuondoka mwaka ukaiacha ndoa mahali ukaikuta hapo hapo hawaisogezi means suala la yeye kanzisha jambo la maendelea ni nadra..
oooh!! Na demu wa kisambaa ila ni demu wa tanga, basi kila mda anataka nim bembeleze na anapenda kudekezwa huyo...

Yeye ana kikazi flani anataka kuiyacha inamchosha ndiyo ananiambia, sijui alinipa nn nshindwa hata kumuacha

Ila akija hom kwenye mambo ya kupika utadhana ana degree ya mapishi....
 
Habari za jioni wandugu wote humu ndani.Baada ya pilika zote za kutafuta mwenza wa maisha hatimae nimeangukia Kwa bint wa kisambaa kutoka Kauzeni Maramba Tanga.

Nilikotoka ilikuwa vita ya isiyoisha kila siku sitataja kabila la mke wa awali.Nilibanikwa roho ikauma kila sekunde mpaka nikadhoofu.

Baada ya kupata kimwana mweupe bila mkorogo umbo kama la Shunie nahisi kama kupaa.Mipango mingi iliyovurugika inarudi vema kila siku kama Christmas.

Bint ni mpole sio mkali mpaka namchokoza angalau aongee nione dimpoz za kisambaa macho yake goroli meno meupe yaliyo takaswa kwa maji ya milima ya usambara.

Naulizwa kama nataka kwenda kuoga ya moto au baridi ananisugua na brash la dodoki huko bafuni nafutwa maji na taulo linalonukia namwambia asante mke wangu.

Nachuliwa mgongo nirudipo safarini kabla ya kuandaliwa magimbi ya nazi niyapendayo sana.

Sitamaliza jamani sifa zake nimeona nishee nanyi raha nipatazo.
Kuna kitu hujagusia na ndicho ktu kinachonipa shaka ww kuwa limbuken ktk mapenz
Inavyoonesha ww n mtu mwepes wa kughurika.
[HASHTAG]#TABIA[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom