Hii convoy kwa sasa inazunguka Kenya iki-rebrand ODM baada ya baadhi ya viongozi kuondoka na kuanzisha
vyama vyao. Walichukua 'break' kwa sababu ya kifo cha Saitoti na Ojode lakini nadhani weekendi ijayo msafara
unaeleka mitaa ya Wa-kisii or something like that.
Nikipata picha nitazidi ku-update msafara unapoendelea kutamba.