Odama amejifungua mtoto Wa kiume!
Wanaanzaaga hivi hiviii baadaee oooo ilikua hivii ikaenda vileee akaze butiii
mi nataka simfahamuhuyu hutaki picha yake
mi nataka simfahamu
Hivi hawa waheshimiwa first class wanawapataga wapi!!!!!!!!!
na mie nitafute mmoja
ila mzuri bhanahuyu hapa
ila mzuri bhana
Honey Faith hata wewe.........Ukibahatika kumpata na mie unifanyie mpango nimpate
Ukibahatika kumpata na mie unifanyie mpango nimpate
bungeni binamu, kuna kipindi walialkiwa bongo movie bungeni uko ndo mambo yote yana ji set automatically....
bungeni binamu, kuna kipindi walialkiwa bongo movie bungeni uko ndo mambo yote yana ji set automatically....
ila wasanii wa kike bongo huwa nampenda sana Mainda mpaka nasisimka.She is cute na sifa zake apewe tu
njooni kwa excel, yuko bandarini kwa sasa! lols. wote wawili mtapata huduma sawa, ila nyongeza itakuja kulingana na performance appraisal...
cc.. Heaven on Earth.