Ocampo anataka kumkaanga Gaddafi!

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,727
Sasa Gadhafi hana pa kutokea, ICC wanamtayarishia kikaango chenye mafuta ya moto!

Gadhafi war crimes probe prosecutor to report findings

By the CNN Wire Staff
May 4, 2011 -- Updated 0821 GMT (1621 HKT)

(CNN) -- The chief prosecutor of the International Criminal Court will release details Wednesday of his investigation into whether Moammar Gadhafi's government committed crimes against humanity in the civil war raging in Libya.

Prosecutor Luis Moreno-Ocampo will be in New York to update the U.N. Security Council on the investigation, the ICC said in a statement.

In March, shortly after the International Criminal Court was asked to investigate the issue, a court spokeswoman said Gadhafi would probably face serious charges.

Moreno-Ocampo said he had uncovered "strong evidence" against some people in Libya and that he planned to issue arrest warrants soon.

But Moreno-Ocampo did not name the people he said he had evidence on.

"Even today, people in Tripoli are arrested illegally, tortured and they disappear," Moreno-Ocampo told CNN. "We have evidence of that and we will show it to the judges


Habari kutoka CNN
 
hii mahakama ya ICC ipo kwa ajili ya waafrika tuu?hao walio waua wajukuu wa gadafi kina nani?wana haki ya kuua?wa afrikaa tuamke hii mahakama inazidi kutumaliza
 
Julian Borger, diplomatic editor | The Guardian

Wednesday 4 May 2011

 
ICC inatakiwa ikamkamate kwanza Bush na Obama, kwa kuwa ni waharifu wakubwa wa makosa ya kivita, kinyume chake haina maana.
 
hii mahakama ya ICC ipo kwa ajili ya waafrika tuu?hao walio waua wajukuu wa gadafi kina nani?wana haki ya kuua?wa afrikaa tuamke hii mahakama inazidi kutumaliza

mkuu nilijisemea mwenyewe kuwa waafrika watakoma na ocampo....lol!ni mmoja baada ya mwingine ila magharibi inakuwa mh!
 
Bunduki zimetengenezwa kwa ajili ya waafrika...yes (ndizo zinapoteza maisha ya ndugu zetu kila kukicha)...bidhaa zisizo na ubora soko lake ni Afrika...na finally ni aina hii mpya ya ukoloni ambayo tunaotawaliwa tunamsifu aliyetukalia eti kwa kua ni mbabe wa wababe...nani atafuata baada ya kusherehekea msiba wa mwenzio?
 
But hii issue ya gadafi inaonyesha kweli bado ukoloni upo. Though simsapoti lakini kuna jambo dunia hatujajua juu ya fall out ya gaddafi na west.


Sijawai kusikia west wakiongela openly kuspport na kuwapa silaha wapinzani wa serikali iliyo madarakani kikatiba.

What West is doing in libya hawawezi kufanya sehemu nyingine kama syria au hata Mubarak angegoma.
 
Huyu muajentina nae anaongeza kesi tu ICC tena majority ni za kutoka Afrika kama siyo zote...
 
wakati uvamizi unaanza Libya,nililaani uvamizi huo,watu wengi hapa jamvini wakanishutumu sana,leo mnaanza kuona ubeberu
huu ni ubeberu ni lazima tulaani na kupinga kwa nguvu zote,
 
wakati uvamizi unaanza Libya,nililaani uvamizi huo,watu wengi hapa jamvini wakanishutumu sana,leo mnaanza kuona ubeberu
huu ni ubeberu ni lazima tulaani na kupinga kwa nguvu zote,
Ni akina nani hao wanaoanza leo?
 
Binafsi nilipinga uvamizi huo bt nikakaa kimya baada ya kukosa support...ikanibidi nimfunue Qaddafi ili nimfahamu ni mtu wa aina gani...well ana mazuri yake na mabaya as well...lakini hii haiwezi kua leseni ya taifa moja kuinuka juu ya taifa lingine...huu ni uhalifu wa kimataifa! Ambao pamoja na mambo mengine The Hague inatakiwa ijaze wahalifu hawa wanaojichukulia maamuzi mikononi pasi kushirikisha nafsi zao! Libya imeshaingizwa ktki civil war,Egypt na Syria...nasikitika sana kwa kua wenye sauti wameamua kuwa mabubu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…