THESE TWO NATIONS ARE TWO SIBLINGS!! It doesnot come as a suprise to me, since Menahem Begin and Ronald Reagan haD the same nose to nose shouting match before! American and Israel will eventually go back to share what they have in common,"Protect the sons and doughters of Jacob(Israelis)"Netanyahau mbabe sana huyu mzee
tatizo la netanyahu hana "compromise strategy" anafkiri a solution to every tension should be solved militarly...,
I so much wish tzipi livni arudi kua pm
hhahahahhaHii kitu inabidi muangalie kwa upande mbili, moja ni israel, hawa jamaa wanakosa usingizi coz of iran, iran wameshasema kua kwa wao israel haipo kwenye ramani ya dunia yaani hawaitambui sasa waarabu kama wale wakishasema hivyo alafu wakawa wanatengeneza nuclear bombs lazima mue na wasiwasi, so i understand frm their point of view their concern
however from america's point of view..sasa hivi they cant afford another war...hawana hela wako hoi debt yao ni zaidi ya $4trillion, alafu kwa wao sasa hivi wana issue mbili, syria and iran. syria kwa wao ndio more of a problem kwa sababu watu wanakufa kule kila siku, wanataka kupeleka majeshi kule lakini wachina na warusi wamekataa.
Ila romney angeingia israel wangefurahi kwa sababu republicans wao vita ni kitu kidogo na wanapenda kupigana. Obama anataka kupunguza military spending so hawezi akapunguza military spending na wakati huo huo akaenda vitani wakati romney anataka aongeze spending kwenye defence, hao waisrael wanataka vita lakini hiyo vita wao hawana hela ya kuigharamia...wanataka kupigana alafu marekani ndio wachukue cost ya vita...hawana akili vizuri
Benyamin Netanyay aka BIBI hakumtendea haki ata kidogo OBAMA...Bibi alidhani kwavile Majews ndo matajiri US rafiki yake ROmney ata shinda kirahisi bila kujua Black American ni wengi kuliko American jews.....Amekua akiilazimisha US iingie vitani kwa niaba yake bila kujua IRAN ni taifa linalojiweza sana tu na US ana interest zake middle east including military basea ambazo zote zipo within Irania missile Range so US hawezi akakubali kuua wanajeshi wake for the sake of Israel....na kuna article ili leak US waliwaambia Israel that you will face the consequence alone if you attack IRAN by urself....Chakushangaza na BIBI kua kati ya viongozi wa kwanza kumpongeza OBAMA,,Bibi ana face uchaguzi mwakani na wachambuzi wa mambo wanasema sidhani km atashinda unless amuombe OBAMA msamaha ili apate support