Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,892
- 10,121
Unataka hao nzi wale wapi?
Aisee hii sio mara ya kwanza nikiangalia kipindi cha Jiji Letu na kuona mtangazaji akisumbuliwa na Nzi usoni huku akilazimisha kumfukuza kwa bodylanguage ili asiharibu lakini wapi Nzi nao wanakomaa tu
Kuna siku Jackline nae alikumbana na hili.
Jana Rehema Salim nae akakumbana na kimbembe Inzi wakawa wanamsumbua usoni,mara mdomoni,mara puani.akajaribu kuchezanao kwa ishara ila Inzi akakomaa.
Ni Aibu sana kwa chombo cha habari kikubwa kama hiki,kwa kweli,naomba wahusika mjipange.
Kuna Taa zinauwezo wa kufukuza Nzi na kumfanya Inzi asiwe rafiki wa eneo husika.
la Sivyo kuna siku mtangazaji atakata kipindi,maana Inzi akiingia mdomoni hapo inakuwa mwisho tena
Ni shida sana akili ndogo kujibu akili kubwa.
Ni kweli, haipendezi wadudu kama nzi, mbu, mende, panya, nk, kuonekana studio. Hapa kwa bahati watazamaji wameshuhudia nzi, kwa mazingira hayo yawezekana hata panya na wengine wakwepo. ITV wahakikishe usafi wa ofisi zao, maana wao ni kioo cha jamii.
Aisee hii sio mara ya kwanza nikiangalia kipindi cha Jiji Letu na kuona mtangazaji akisumbuliwa na Nzi usoni huku akilazimisha kumfukuza kwa bodylanguage ili asiharibu lakini wapi Nzi nao wanakomaa tu
Kuna siku Jackline nae alikumbana na hili.
Jana Rehema Salim nae akakumbana na kimbembe Inzi wakawa wanamsumbua usoni,mara mdomoni,mara puani.akajaribu kuchezanao kwa ishara ila Inzi akakomaa.
Ni Aibu sana kwa chombo cha habari kikubwa kama hiki,kwa kweli,naomba wahusika mjipange.
Kuna Taa zinauwezo wa kufukuza Nzi na kumfanya Inzi asiwe rafiki wa eneo husika.
la Sivyo kuna siku mtangazaji atakata kipindi,maana Inzi akiingia mdomoni hapo inakuwa mwisho tena
Kwani mzee Mengi ana mapacha? Mke wake lini kajifungua hao mapacha au mchepuko.Na Kibaya au Kizuri Zaidi Bosi Wao BABA MAPACHA ndiyo Taita Wa NEMC................Ama Kweli Mganga Hajigangi!!!!!!!!!!!
Kwani mzee Mengi ana mapacha? Mke wake lini kajifungua hao mapacha au mchepuko.
kuna siku mwandishi wa habari wa kituo flani alipiga bonge moja la chafya then akasema KUMRADHI!... dah!!! hatari sana hawa watu