Nywele za chini kuzifuga yataka moyo

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,280
Reaction score
23,439
Kufuga hizi nywele yataka moyo kwelikweli. Zinakera na kuujaza moyo hasira unakuwa mtu wa stress pasipokuwa sababu!

Kibaya zaidi huwezi kugundua kwamba ndizo zinazokupa stress hadi siku ukinyoa ndipo unajua.

Unakuta mtu kakunja ndita usoni na ukimgusa kidogo tu anawaka, moja ya matatizo ni hizi nywele zina mateso acha kabisa.

Kwa wanawake ndo usiseme, mzigo unajaa utadhani rundo la nyuki. Wanaume tunapembua papuchi yaani mtu hadi unatamani utumie chanuo.

Hizi nywele kwakweli zina mateso bila chuki.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Hii study majanga
 
Asubuhi yote hii na mabeki tatu mkuu!!?
 
Nimejiapiza sitanyoa hizo nywele mpaka nipate kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…