Mkuu Nina tatizo Kama la jamaa,Hali hii imepelekea Mimi kukaa na upaa muda wote,maana nywele zikifikisha wiki moja tu,tayari zishakunjamana,je haya mafuta yatazifanya zilainike
Acha habari zako,Kama mungu alituuamba na kucha kwanini tunazikata zikirefuka,au kwanini tuna vaa nguo Wakati tulizaliwa watupu,huoni kuwa tunamfundisha Mungu?
Acha kuwa mtumwa wa Imani,jaribu kuwa unawaza nje ya box ,utafaidika Sana.
Mkuu nimeyapata yale mafuta uloelekeza humu,je naweza paka hata kwa nywele fupi au Hadi ziwe ndefu?,je hayarainishi nywele maana Mimi ni me,nisijeonekana muhunni mbele ya wanafunzi wangu
Mkuu nimeyapata yale mafuta uloelekeza humu,je naweza paka hata kwa nywele fupi au Hadi ziwe ndefu?,je hayarainishi nywele maana Mimi ni me,nisijeonekana muhunni mbele ya wanafunzi wangu