Matangazo kama haya ndio huwafanya watu wawaone matapeli!!
Kila siku elimu inatolewa lakini wapi!!
Haya
Sema nyumba ziko mbagala mtaa gani
Zina hati au ni hizi zetu za kienyeji
Weka bei ya ukweli
Weka picha
Tuambie swala la maji na umeme hapo likoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.