Nyumba Zinapangishwa

Mbona bado hujamalizia rangi mkono mmoja tu feni hapo juu ujaweka wavu w madirishani nao bado
 
Hii nyumba nzuri sana..ina hadi parking,ama kwa hakika picha yavutia
 
Nimependa hapo getini pakuingilia na parking ni nzuri
 
Waou amazing , mimi nimependa location yake tu na hasa ule mnazi pale uwani, ( till when we have to tell you to always pics on adds? )
 
Punguza majani kwenye hiyo, Garden ni hatari kwa mazalio ya mbu....!!
 
Naona umeipiga plasta ya kizushi,afu huyo mlinzi wa ULTIMATE SECURITY hapo geti kubwa mngembadilishia mavazi yamechakaa sana.
 
Kweli ni nzuri,naona kwenye picha hapo kuna mazingira mazuri sana,naona na police pembeni hapo??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…