Nyumba zinapangishwa savei mwenge.

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Zipo nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya mlimani city. Nyumba ya kwanza ni ndogo ina chumba na sebule jiko pamoja na choo chake. Bei yake ni 150 000 kwa mwezi kodi ya mwaka inahitajika. Nyumba ya pili ni nyumba kubwa / family house ina vyumba viwili kimoja ni master store jiko sebule kubwa public toilet na tiles. Bei yake ni 300000/= kwa mwezi. Kodi mwaka pia miezi 10 ntapokea. Maji yapo. Hakuna fence. Parking ipo. Zote hakuna dalali. Mhitaji apige 0713401812.
 
Zote zipo sehemu moja na zina parking ya magari.
 
Kiongozi Picha ni muhimu sana kwa biashara kama hizi ebu pitia thread za jamaa huyo @kaka dalali upate picha na jinsi ya kupost/kutangaza biashara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…