derickson
Member
- Jul 21, 2018
- 5
- 2
Habari wana Jf. Kuna nyumba 3 znapangishwa maeneo ya savei mwenge kama ifuatavyo.
1.Chumba sebule jiko toilet 180,000/= kwa mwezi.
2. Vyumba viwili sebule jiko na toilet 280,000/= kwa mwezi.
3. Vyumba 3 sebule kubwa jiko na toilet 2 yaani moja master na nyingine ni public toilet. Bei yaake 350,000/kwa mwezi.
Mengineyo nyumbaa zote zinapangishwa bila kupitia ka dalali. nyumba zote zipo karibu na mliman city kama dk 6 hivi. Hakuna fence ila magari yanaingia hadi mlangoni kwako. Ulinzi upo wa kutosha. Maji yapo 24/7. Wanaohitaji piga 0755063076.

zawadi ya kubalikiwa ni ziggo